Breaking News
← →
Mkono mwingine wa Nisher  kutoka Arusha Baada ya video hii nimegundua kuna haja kubwa sana ya sisi watu wa arusha hasa Wapenda burudani tujisifie kupata kichwa matata km Nisher..
Kuhusu mziki bila shaka G-NAKO anafahamika huwa hakosei,uwezo wa alionao wa kuchana na kuimba nikielelezo tosha kuvutia mashabiki wengi.. Ben Paul naye kafanya yake km kawaida yake..
ENJOY..ARUSHA ON TOP....







Mwanamziki Joh makin kutoka Arusha ataendesha kipindi cha the Countdown kinachorushwa na Capital Fm iliyoko jijini Dar es salaam ambacho huruka kuanzia saa tisa alasiri mpka saa kui na moja jioni 11 kama wewe ni shabiki wake unganae kusikiliza hit maker anazozipenda.
,
Photo: http://www.hulkshare.com/xxr6tidluvwg